Jinsi Ya Kutengeneza M-Pesa Master kadi

Hatua

01

Piga *150*00#

ingia sehemu ya kupiga simu na bonyeza alama ya nyota, weka nambari 150, weka nyota tena, weka sufuri mara mbili, weka alama ya reli (#), kisha bonyeza kitufe cha kupiga simu

Hatua

02

Lipa Kwa M-pesa

Weka nambari nne (4) kuchagua lipa kwa M-pesa

Hatua

03

M-pesa Mastercard

Weka nambari sita (6) kuchagua M-pesa Mastercard

Hatua

04

Tengeneza Kadi

Weka nambari moja (1) kuchagua tengeneza kadi

Hatua

05

Uthibitisho

Utapokea ujumbe mwenye nambari za kadi yako na nambari ya CVV na tarehe ya kusitishwa kwa kadi.

Hatua

06

Weka Kadi Yako Swahiliflix

Ingia swahiliflix sehemu ya malipo ya kadi, weka Nambari ya kadi, CVV au CVC na tarehe ya kusitishwa kadi

Jinsi Ya Kuweka Pesa Kwenye M-Pesa Master kadi

Hatua

01

Piga *150*00#

ingia sehemu ya kupiga simu na bonyeza alama ya nyota, weka nambari 150, weka nyota tena, weka sufuri mara mbili, weka alama ya reli (#), kisha bonyeza kitufe cha kupiga simu

Hatua

02

Lipa Kwa M-pesa

Weka nambari nne (4) kuchagua lipa kwa M-pesa

Hatua

03

M-pesa Mastercard

Weka nambari sita (6) kuchagua M-pesa Mastercard

Hatua

04

Weka Pesa Kwenye Kadi

Weka nambari tatu (3) kuchagua weka pesa kwenye kadi

Hatua

05

Weka Kiasi Cha Pesa

Weka kiasi cha pesa unachotaka kuwa kwenye mastercard, viwango vya chini vya swahiliflix ni, kwa mwezi mmoja weka TZS 18,400. kwa miezi mitatu (3) ni TZS 41,400 na miezi sita TZS 68,900

Hatua

06

Thibitisha

Bonyeza nambari moja (1) kuthibitisha, endelea na kuweka nambari za siri za M-pesa

English

How To Create M-Pesa Mastercard

Step

01

Dial *150*00#

Open call section and dial *150*00#

Step

02

Pay By M-Pesa

Enter number four (4) to select pay by M-pesa

Step

03

M-pesa Mastercard

Enter number six (6) to select M-pesa Mastercard

Step

04

Create a card

Enter number one (1) to select create a card.

Step

05

Confirmation

You will receive an SMS with your card number and CVV along with your card’s expiration date.

Step

06

Fill Card Details On Swahiliflix

Fill the card number and CVV on swahiliflix subscription page and wait for the subscription plan to be activated

How To Prefund Your M-Pesa Mastercard

Step

01

Dial *150*00#

Open call section and dial *150*00#

Step

02

Pay By M-Pesa

Enter number four (4) to select pay by M-pesa

Step

03

M-pesa Mastercard

Enter number six (6) to select M-pesa Mastercard

Step

04

Prefund The card card

Enter number three (3) to select prefund the card. then enter the amount and confirm

Step

05

Confirmation

You will receive an SMS for confirmation.